Habari Maalumu
IQNA – Katika hatua ya kichokozi na ya kuvunjia heshima, vikosi vya utawala wa Kizayuni vimepaza bendera yao juu ya mnara wa msikiti mmoja huko Palestina...
24 Aug 2026, 17:06
IQNA – Taasisi ya Dar al-Ifta (Idara ya Fatwa) ya nchini Misri imesisitiza kuwa sherehe za maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW), maarufu...
23 Aug 2026, 15:56
IQNA – Maonesho yenye kichwa “Urithi wa Kiislamu wa Russia: Watu na Mila” yalifunguliwa katika hafla iliyofanyika Moscow jioni ya Jumamosi.
23 Aug 2026, 15:40
IQNA – Mwanaharakati wa mrengo mkali wa kulia nchini Marekani, ambaye amekuwa akifanya vitendo vya kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu mara kadhaa, amekamatwa...
23 Aug 2026, 15:32
IQNA – Watu kadhaa wametekwa nyara kutoka katika msikiti mmoja ulioko Jimbo la Niger, eneo la kaskazini-kati mwa Nigeria, na kundi la magaidi, kwa mujibu...
23 Aug 2026, 15:28
IQNA – Programu za bure za kuhifadhi, kusoma, na kusahihisha usomaji wa Qur’ani (Tajweed) kwa wanafunzi wa shule nchini Jordan zimefikia tamati katika...
22 Aug 2026, 17:17
IQNA – Washindi wa toleo la 46 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na kufasiri Qur’ani Tukufu wametunukiwa katika hafla...
22 Aug 2026, 17:15
IQNA – Kutokana na changamoto za hali ya hewa nchini Singapore, vipindi vya hotuba za Swala ya Ijumaa vitafupishwa kwa muda kuanzia wiki hii.
22 Aug 2026, 17:13
IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesisitiza kuwa hatua mpya zinazochukuliwa na utawala wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa...
22 Aug 2026, 17:10
IQNA – Mahakama moja katika jimbo la Johor, Malaysia, imemhukumu mwanamume kifungo cha jela kwa kuidhalilisha na kuivunjia heshima dini ya Kiislamu
22 Aug 2026, 17:07
IQNA – Salah al-Jamal ni daktari kutoka Misri ambaye amepata mafanikio makubwa katika nyanja za kuhifadhi na kusoma Qur’ani Tukufu.
21 Aug 2026, 15:04
IQNA – Msemaji wa Wizara ya Wakfu nchini Misri ametangaza ujenzi au ukarabati wa misikiti takriban 15,000 nchini humo tangu mwaka 2014.
21 Aug 2026, 14:56
IQNA – Razan Muhammad Mutawali, msichana wa miaka mitano kutoka Guatemala, ameshiriki katika Mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Saudi Arabia.
21 Aug 2026, 14:49
IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limetangaza kuwa Waislamu 255 wamechaguliwa kushika nyadhifa mbalimbali za umma katika majimbo...
21 Aug 2026, 15:22
IQNA – Kiongozi wa Kikristo katika Jimbo la Kaduna nchini Nigeria amemuenzo mwanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Usman Mohammed Mai-Mota (Gwalli), kwa kutambua...
20 Aug 2026, 18:56
IQNA – Jumla ya maombi 20,500 kutoka nchi 135 yamewasilishwa kwa ajili ya toleo la 29 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai (DIHQA).
20 Aug 2026, 19:08