IQNA-Leo Jumamosi tarehe 28 mwezi Juni 2025 inayosadifiana na tarehe pili Muharram 1447 Hijria Tehran inashuhudia shughuli kubwa na ya kihistoria ambapo zaidi ya mashahidi 60 wa muqawama kuanzia makamanda wa jeshi hadi raia wa kawaida wa wanawake na watoto, wameagwa na umati mkubwa wa wananchi wanamapinduzi wa Iran.
13:41 , 2025 Jun 28