IQNA – Ujumbe wa ngazi ya juu wa vyombo vya habari kutoka Italia, uliotembelea taasisi kadhaa chini ya Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS), huko Karbala, Iraq umesifu huduma za kisasa zinazotolewa na idara hiyo katika nyanja mbalimbali, hasa afya na elimu.
IQNA – Mtoto wa Misri aliyezaliwa bila pua na macho amefanikiwa kuhifadhi Qur’an Tukufu kikamilifu
Muhammad, ambaye ana umri wa miaka 11, pia ana kipaji cha kipekee katika kusoma Qur’ani kwa kuiga mitindo ya maqari mashuhuri.
IQNA – Uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji mtakatifu wa Madina ulipokea kundi la kwanza la waumini wanaotekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu wa 1446 (2025) siku ya Jumanne.
IQNA – Wabunge wa Ufaransa siku ya Jumanne walikusanyika kwa heshima kuu kumkumbuka Muislamu aliyepoteza maisha katika shambulio la kusikitisha ndani ya msikiti uliopo kusini mwa nchi hiyo.
IQNA – Nakala ya Qur’ani (Msahafu) kutoka enzi za Mamluk mwishoni mwa miaka ya 1470 Miladia ni miongoni mwa vitu vya sanaa vitakavyouzwa katika mnada wa Sotheby's jijini London leo.
IQNA – Wanaharakati wa Qur'ani kutoka nchi 50 hadi sasa wamejisajili kushiriki katika toleo la nne la shindano la kimataifa la Qur'ani huko Karbala, Iraq.
IQNA- Katika dunia ya leo yenye pilika pilika nyingi na mwendo wa haraka, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mfululizo wa "Sauti ya Wahyi" kwa kuchagua baadhi ya aya kwenye Qur'ani Tukufu.
IQNA – Katika mkesha wa kuadhimisha Wiki ya Karamat na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Hadhrat Masoumah (SA), sherehe ya kifakhari ya kufuta vumbi ilifanyika katika haram takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, mnamo tarehe 28 Aprili 2025.