Picha za angani za Msikiti wa Mtakatifu wa Makka
TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya Waislamu walitembelea Msikiti wa Mtakatifu wa Makka, Al Masjid al Haram, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, wakati wa Mwezi Mtukufu Ramadhani 1444 H- 2023 -baada ya vizuizi vya Covid-19 kuondolewa. Hizi ni picha za angani za Msikiti Mtakatifu.