IQNA

Mashindano ya Qur'ani

Mashindano ya Qur'ani ya Malaysia

20:40 - April 24, 2024
Habari ID: 3478727
IQNA - Mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani katika jimbo la Sabah nchini Malaysia yamezinduliwa katika mji wa Kota Kinabalu Jumatano

Mashindano hayo yanayojulikana kama Majlis Tilawah dan Hafazan Al-Quran (MTHQ), yataendelea kwa muda wa siku tatu..

Mashindano hayo yana kategoria kadhaa, na yalianza na kitengo cha vijana kwa kushirikisha washiriki tisa na kufuatiwa na kitengo cha watu wazima. Zaidi ya hayo, mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yatafanyika Aprili 25, yakiwa na washiriki 30 katika ngazi tatu. Sherehe ya kufunga na usambazaji wa zawadi, inatarajiwa kuhudhuriwa na Gavana wa Sabah Tun Juhar Mahiruddin na itafanyika Aprili 26

3488059.

captcha