iqna

IQNA

serikali
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Msomi na mwanafikra wa Ufaransa amesema chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) haikomei kwa chama fulani bali ni sera ya serikali nchini Ufaransa.
Habari ID: 3475936    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: katika matukio yote yaliyojiri, wananchi wamekuwa ndio "mashujaa wakuu wa historia ya Mapinduzi" na ukweli huo unatoa somo na mazingatio na kuwaonyesha viongozi wote ni namna gani inapasa waamiliane na wananchi hao.
Habari ID: 3475703    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/30

Kikao cha Tehran
TEHRAN (IQNA)-Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi JIrani na Afghanistan mwishoni mwa kikao chao hapa Tehran wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza kuwa: njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuasisi muundo mpana wa kisiasa kwa kuyashirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474482    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)-Wakati Lebanon inapambana kupitia mkwamo wake wa kisiasa uliochukua muda mrefu, Hizbullah inataka kuundwa kwa baraza la mawaziri ambalo linahudumia wananchi badala ya wanasiasa wake.
Habari ID: 3474127    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udarura wa wananchi na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa macho mbele ya njama za maadui.
Habari ID: 3353086    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/27

Nchini Mali watu wasiopungua 13 wakiwemo wanajeshi watano wa serikali wameuawa Ijumaa na Jumamosi katika hujuma dhidi ya hoteli moja eneo la kati mwa nchi hiyo huku raia kadhaa wa kigeni wakichukuliwa mateka.
Habari ID: 3340139    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08

Tumo katika kumbukumbu ya kufariki dunia Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu Muhammad al-Mustafa SAW. Hii leo imepita zaidi ya miaka 1400 tangu mbora huyo wa viumbe aage dunia; lakini jina la mtukufu huyo pamoja na utajo na shakhsia yake kubwa na adhimu na isiyo na mithili ingali inaleta hamasa katika nyoyo.
Habari ID: 2623557    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanapaswa kutafuta radhi za Allah SWT sambamba na kulinda Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 1444000    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/28