iqna

IQNA

judo
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji maarufu wa tennis kutoka Kuwait amepongezwa kwa hatua yake ya kujiondoa katika shindano moja la kimataifa baada ya kubainika kuwa alitakuwa ashindane na raia wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474836    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22

TEHRAN (IQNA)- Mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria, Fethi Nourine (Fat-hi Nurin), ambaye alifadhilisha kujitoa kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo kuliko kucheza na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel, bado anaendelea kugonga vichwa vya habari.
Habari ID: 3474278    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA) - Mwanamichezo wa mchezo wa Judo kutoka Sudan Mohamed Abdalrasool amekuwa mwamichezo wa pili kukataa kucheza na Muisraeli Tohar Butbul katika michezo ya Olimpiki 2020 ya Tokyo.
Habari ID: 3474130    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/26