iqna

IQNA

ebrahim raisi
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali yake inalenga kuwa na ushirikiano na dunia nzima lakini akaonya kuwa Iran itakabiliana na madola yanayotaka kukabiliana na nchi hii.
Habari ID: 3474855    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mbele ya Waislamu wa Msikiti Mkuu wa Moscow, mji mkuu wa Russia kwamba, Misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu ardhini na inamlea vizuri Muislamu na jamii yake.
Habari ID: 3474831    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amesema, aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ni muuaji na mhalifu mkuu wa mauaji ya kamanda Qassem Suleimani, kwa hivyo inapasa ashtakiwe na kuhukumiwa kuuawa kwa kisasi.
Habari ID: 3474762    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shambulio la kimtandao (cyber attack) dhidi ya vituo vya mafuta vya Jamhuri ya Kiislamu ni njama za maadui zilizolenga kuwahamakisha na kuvuruga maisha ya kila siku ya Wairani.
Habari ID: 3474485    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474444    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19