IQNA

Haram Takatifu ya Najaf yajaa Wafanyazaira katika Mwezi Mtukufu wa Muharram

Haram Takatifu ya Najaf yajaa Wafanyazaira katika Mwezi Mtukufu wa Muharram

IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (Alayhis Salaam) huko Najaf, Iraq, kwa sasa inashuhudia wingi mkubwa wa wafanyazaira na waombolezaji kuadhimisha kuingia kwa mwezi wa Muharram, ambao ulianza Ijumaa, tarehe 27 Juni.
19:07 , 2025 Jun 29
Wanafunzi na Walimu wa Qur’an Waheshimiwa Nchini Qatar

Wanafunzi na Walimu wa Qur’an Waheshimiwa Nchini Qatar

IQNA – Hafla ya kila mwaka ya Idara ya Qur’an Tukufu na Sayansi Zake kwa ajili ya kuwaheshimu wanafunzi wa Qur’an imefanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
19:00 , 2025 Jun 29
Wizara ya Wakfu Syria yakanusha kufunga Haram ya Bibi Zaynab (SA) au kuzuia maombolezo ya Muharram

Wizara ya Wakfu Syria yakanusha kufunga Haram ya Bibi Zaynab (SA) au kuzuia maombolezo ya Muharram

IQNA – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini nchini Syria imekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuwa Haram takatifu ya Bibi Zaynab (Salamullahi ‘alayha) mjini Damascus imefungwa.
18:52 , 2025 Jun 29
Waislamu wa Singapore kutuma tani 16 za nyama ya Udhiya Gaza

Waislamu wa Singapore kutuma tani 16 za nyama ya Udhiya Gaza

IQNA – Waislamu nchini Singapore wanatarajiwa kuchangia tani 16 za nyama ya Udhiya iliyo kwenye makopo kwa ajili ya wakaazi wa Gaza, kama sehemu ya juhudi za kibinadamu zitakazofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
18:38 , 2025 Jun 29
Wabunge Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Mwislamu mgombea umeya wa New York, Zohran Mamdani

Wabunge Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Mwislamu mgombea umeya wa New York, Zohran Mamdani

IQNA – Wabunge wote Waislamu wa Bunge la Marekani wametoa taarifa ya pamoja kulaani mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu yaliyomlenga Zohran Mamdani, mgombea wa Umeya wa Jiji la New York, ambayo yametokea kutoka kwa wanasiasa wa chama tawala cha Warepublican na hata baadhi ya Wademocrat.
22:32 , 2025 Jun 28
Hali ya maombolezo Baina Haramain huko Karbala kufuatia kuingia kwa Muharram

Hali ya maombolezo Baina Haramain huko Karbala kufuatia kuingia kwa Muharram

IQNA – Pamoja na kuwasili kwa mimu wa  huzuni katika mwezi wa Muharram, mitaa inayoelekea kwenye makaburi matakatifu ya Imam Hussein (AS) na Hazrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imeanza kushuhudia maombolezo makubwa.
22:10 , 2025 Jun 28
Spika wa Bunge la Iran: Umoja na Uwepo wa Wairani ndiyo jibu kuu kwa Israel

Spika wa Bunge la Iran: Umoja na Uwepo wa Wairani ndiyo jibu kuu kwa Israel

IQNA – Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ameisifu hadhira kubwa ya Wairani waliohudhuria mazishi ya pamoja yaliyofanyika Jumamosi mjini Tehran kwa ajili ya mashujaa waliouawa shahidi katika hujuma ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya Iran.
21:57 , 2025 Jun 28
Ndege za kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani zaanza tena safari

Ndege za kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani zaanza tena safari

IQNA – Operesheni ya kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani wa Hija nchini kwa njia ya anga ilianza tena Alhamisi.
21:16 , 2025 Jun 28
Mazishi ya mashahidi  Wairani wa jinai za Israel ni dhihirisho la umoja na kupinga ubeberu

Mazishi ya mashahidi Wairani wa jinai za Israel ni dhihirisho la umoja na kupinga ubeberu

IQNA-Leo Jumamosi tarehe 28 mwezi Juni 2025 inayosadifiana na tarehe pili Muharram 1447 Hijria Tehran inashuhudia shughuli kubwa na ya kihistoria ambapo zaidi ya mashahidi 60 wa muqawama kuanzia makamanda wa jeshi hadi raia wa kawaida wa wanawake na watoto, wameagwa na umati mkubwa wa wananchi wanamapinduzi wa Iran.
13:41 , 2025 Jun 28
UNRWA: Wapalestina wa Gaza wakaribia kufa kutokana na kiu

UNRWA: Wapalestina wa Gaza wakaribia kufa kutokana na kiu

IQNA - Mgogoro mkubwa wa maji unatishia Wapalestina wa Gaza ambapo wanaweza kufariki kutokana na kiu cha maji  huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo.
20:18 , 2025 Jun 26
Ayatullah Khamenei alipongeza Taifa la Iran kwa ushindi dhidi ya Israel, Marekani

Ayatullah Khamenei alipongeza Taifa la Iran kwa ushindi dhidi ya Israel, Marekani

IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei amelipongeza taifa la Iran kwa ushindi dhidi ya utawala wa Israel na Marekani pamoja na umoja wa ajabu wa taifa la Iran.
20:06 , 2025 Jun 26
Wahifadhi Qur'ani kutoka Nchi 85 wajisajili katika Mashindano ya Qur’ani ya Dubai

Wahifadhi Qur'ani kutoka Nchi 85 wajisajili katika Mashindano ya Qur’ani ya Dubai

IQNA – Wahifadhi Qur’ani kutoka nchi 85 wamesajili majina yao ili kushiriki katika toleo la 28 la Tuzo la Kimataifa la Qur’ani Tukufu la Dubai.
23:53 , 2025 Jun 25
Pazia la Kaaba limebadilishwa kwa mnasaba wa kuanza mwaka wa Kiislamu 1447 Hijria

Pazia la Kaaba limebadilishwa kwa mnasaba wa kuanza mwaka wa Kiislamu 1447 Hijria

IQNA – Pazia la Kaaba Tukufu ambalo linajulikana kama Kiswa, linabadilishwa wiki hii kuashiria kuanza kwa mwaka wa Kiislamu wa 1447 AH.
23:41 , 2025 Jun 25
Wapalestina zaidi ya 56,077  wameuawa shahidi katika mauaji ya kimbari yanatekelezwa na Israel Gaza

Wapalestina zaidi ya 56,077 wameuawa shahidi katika mauaji ya kimbari yanatekelezwa na Israel Gaza

IQNA - Jeshi katili la Israel dhid limeua takriban Wapalestina 56,077 katika mauaji ya kimbari huko Gaza tangu Oktoba 7, 2023.
22:42 , 2025 Jun 25
Umoja wa Waislamu waimarika baada ya operesheni ya Iran dhidi ya Israel

Umoja wa Waislamu waimarika baada ya operesheni ya Iran dhidi ya Israel

IQNA - Mshikamano wa Waislamu katika ulimwengu wa Kiislamu umefikia kiwango kisicho na kifani kufuatia Operesheni ya Ahadi ya Kweli III dhidi ya utawala wa Israel, mwanazuoni mmoja anasema.
05:38 , 2025 Jun 25
1